Wednesday, October 20, 2021

NAFASI YA MASOMO KWA MWAKA 2022-2023

 NAMBA YA USAJILI :ALHUL BAIT CENTRE (ABC) VTC   VET/ARS/PR/2021/C/136

 

 CHUO CHA UFUNDI ABC VTC ARUSHA.


TUNAFUNDISHA UFUNDI KATIKA FANI ZIFUATAZO;

 

1. UFUNDI UMEME WA NYUMBA NA VIWANDA

2. UFUNDI UMEME WA MAGARI

3. UFUNDI WA MAGARI

4. UDEREVA

5. UFUNDI BOMBA

6. USHONAJI

7. KOZI YA KOMPYUTA

8. KOZI YA KINGEREZA.


TUPO ARUSHA KWA MROMBO, KATA YA MURIETI MTAA WA MLIMANI.

KWA USAFIRI WA DALADALA, PANDA DALADALA ZINAZOKWENDA INTEL, KISHA SHUKA GHOROFANI, MITA CHACHE UTAFIKA CHUONI.

SIMU: 0754693725

Facebook: chuochaufundiabc

instagram: chuochaufundiabc

email: abcvtc1992@gmail.com



No comments:

Post a Comment

NAFASI YA MASOMO YA UFUNDI

UFUNDI NI HADHINA YA KUDUMU