Saturday, March 1, 2025

CHUO CHA UFUNDI ABC-VTC ARUSHA


 

 CHUO CHA UFUNDI ABC VTC ARUSHA.


TUNAFUNDISHA UFUNDI KATIKA FANI ZIFUATAZO;

 

1. UFUNDI UMEME WA NYUMBA NA VIWANDA

2. UFUNDI UMEME WA MAGARI

3. UFUNDI WA MAGARI

4. UDEREVA

5. UFUNDI BOMBA

6. USHONAJI

7. HOTEL MANAGEMENT

8. KOZI YA KOMPYUTA

9. KOZI YA KINGEREZA.

10.UREMBO NA USUSI

11. KOZI YA TOURGUIDE


TUPO ARUSHA KWA MROMBO, KATA YA MURIETI MTAA WA MLIMANI.

KWA USAFIRI WA DALADALA, PANDA DALADALA ZINAZOKWENDA INTEL, KISHA SHUKA GHOROFANI, MITA CHACHE UTAFIKA CHUONI.

SIMU: 0754693725

Facebook: chuochaufundiabc

instagram: chuochaufundiabc

email: abcvtc1992@gmail.com


CHUO CHA UFUNDI ABC-VTC ARUSHA

UFUNDI NI HADHINA YA KUDUMU