FOMU YA KUJIUNGA

FOMU YA KUJIUNGA NA CHUO 

BONYEZA HAPA CHINI KUIPATA

 

                             Here icon      


DOWNLOAD- APPLICATION FORM 

 

 MAWASILIANO:

Simu: 0754693725

Tovuti: www.abcvtc1992.blogspot.com

Facebook: chuochaufundiabc

Instagram: chuochaufundiabc

 

 

29 comments:

  1. Naitaji kuniunga katika chuo chenu naomba kupata utaratibu kwa maana ya ada,muda wa mafunzo na mengneyo naitaji kupata ujuzi wa computer

    ReplyDelete
    Replies
    1. Karibu sana katika chuo chetu, tunatoa mafunzo ya muda mfupi kwa upande wa computer.(basic computer application) mafunzo haya ni ya muda wa miezi mitatu, gharama ni Tsh 150,000/=
      karibu sana ndugu.

      Delete
  2. ada ya mafunzo ya udereva ni kiasi gani.

    ReplyDelete
  3. Ada ya mafunzo ya udereva ni Tsh 200,000/= kwa kozi nzima.

    ReplyDelete
  4. Replies
    1. Ada ya mafunzo ya udereva ni Tsh 200,000/= kwa kozi nzima.

      Delete
  5. Umeme wa magari mwombaji hawe na sifa gani

    ReplyDelete
  6. Ada ya ufundi umeme kiasi Gani kozi nzima

    ReplyDelete
  7. Nahitaji kufahamu kuhusu ada na mengneyo kuhusu kozi ya electronic installation

    ReplyDelete
  8. Tafadhali page hii ni kwa ajili ya habari za chuo na elimu.
    Tunaomba usitumie page hii kudanganya,au kutangaza imani yako.
    Page hii ni kwa ajili ya taaluma tu

    ReplyDelete
  9. Habari naomba kuulizia kupatikana kwa form na pia na kutaka kujiunga ni mwezi wa ngap

    ReplyDelete
  10. Je sifa Gani mtu anatakiwa kuwa nazo Ili kujiunga na hicho chuo na ada bei gang kwa koz ya umeme

    ReplyDelete
  11. Naomba kuuliza,,, mwezi gani wanasajili nataka nianze maombi cozi fupi ushonaji

    ReplyDelete
  12. Darasa la saba wanafunzi wanachukuliwa pia?? Naomba kuujua

    ReplyDelete
  13. Course ya mitambo ipo

    ReplyDelete
  14. Natamani kujiunga ila naona muda kama umepita je naweza kujiunga hata sasa

    ReplyDelete
  15. utaratibu wa namna ya uapply naomba kozi niko mbali na chuo,, naomba nielekezwe namna ya kuapply

    ReplyDelete
  16. Naomba namba za simu

    ReplyDelete
  17. Nataka kujua mwisho wa kujiunga na chuo ni mwezi wangapi au ndio mwezi wowote kujiunga

    ReplyDelete

NAFASI YA MASOMO YA UFUNDI

UFUNDI NI HADHINA YA KUDUMU