GHARAMA ZA ADA

GHARAMA ZA ADA KATIKA CHUO CHA UFUNDI STADI ABC NI KAMA IFUATAVYO:

KOZI NDEFU ( MUDA WA MIAKA MIWILI)


1. MAFUNZO YA UFUNDI UMEME-(ELECTRICAL INSTALLATION)

2. MAFUNZO YA UMEME WA MAGARI-(AUTO-ELECTRIC)

3.MAFUNZO YA UFUNDI WA MAGARI-(MOTOR VEHICLE MECHANICS)

4. UFUNDI BOMBA.( PLUMBING AND PIPE FITTING)

5. USHONAJI (DESIGN SEWING AND CLOTH TECHNOLOGY)

6. HOTEL MANAGEMENT



GHARAMA YA KOZI TAJWA HAPO JUU NI TSH 600,000/=KWA MWAKA.


GHARAMA YA MAFUNZO YA UFUNDI YA MUDA MFUPI-(SHORT COURSE) NI-



1. MAFUNZO YA UFUNDI UMEME-(ELECTRICAL INSTALLATION)

2. MAFUNZO YA UMEME WA MAGARI-(AUTO-ELECTRIC)

3.MAFUNZO YA UFUNDI WA MAGARI-(MOTOR VEHICLE MECHANICS)

4. UFUNDI BOMBA.( PLUMBING AND PIPE FITTING)

5. USHONAJI (DESIGN SEWING AND CLOTH TECHNOLOGY)

6. HOTEL MANAGEMENT

 GHARAMA YA KOZI YA MUDA MFUPI NI TSH 400,000/= KWA MIEZI SITA-(6)



1. KOZI YA COMPUTER NI TSH 150,000/= MIEZI MITATU(3)

2. KOZI YA UDEREVA NI TSH 250,000/= MWEZI MMOJA(01) 

3. UREMBO NA USUSI NI TSH 400,000/= KWA ZOTE KWA MIEZI MITATU (3)

 250,000/= KWA KOZI MOJA (UREMBO/USUSI) ATAKAO CHAGUA MWANAFUNZI.

 

KWA WANAOHITAJI MALAZI(HOSTEL ZIPO)

Gharama ya hosteli ni Tsh,300,000/= kwa mwaka, Mwanafunzi atapatiwa Chumba,Umeme,Maji na Huduma Nyingine ILA CHAKULA, Matibabu pamoja na Pesa ya kujikimu atajitegemea mwenyewe.

 

CHUO KIPO KWA 
MOROMBO

 KATA YA 
MURIET 

KARIBU NA
 HOSPITAL YA MURIET

Simu

0754693725

 
website
www.abcvtc1992.blogspot.com
 
facebook
www.facebook.com/abc.vtc.31/


WOTE MNAKARIBISHWA


46 comments:

  1. mimi naitaji kusomea ufundi umeme ila nakaa bagamoyo vp kuhusu makazi yapo

    ReplyDelete
    Replies
    1. tunapenda kukujulisha kuwa makazi kwa ajili ya malazi yapo, kwa maelezo zaidi tumia namba tajwa hapo juu. karibu sana

      Delete
    2. Nitaka kusoma umeme chuo kinafunguliwa lini

      Delete
    3. Mhh samahani niulize course ya mechanics ipoje Apo chuon

      Delete
  2. Replies
    1. Napenda kukutaarifu kuwa Tunafanya kazi kwa kufuata utaratibu na sheria za nchi, hivyo tunakukaribisha katika kujifunza ufundi katika chuo chetu.

      Delete
  3. Nimesomea magari nimefika levo 3 nataka kuelendelea,ninachofuata ni kozi gani

    ReplyDelete
  4. Natumai ulitaka kujua ngazi inayofuata baada ya kuhitimu na kufaulu vizuri level ya tatu(level 3).Kama ndivyo ngazi inayofuata ni ngazi ya Diploma, ila lazima ngazi ya tatu uwe umefaulu masomo yote.

    ReplyDelete
  5. Kwa mafunzo ya udereva ambapo unalipa laki 2. Ndani ya io ada ntapa kila kitu mpaka leseni. Mpaka ntakapo maliza.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ada ya mafunzo ya udereva ni Tsh 200,000/=. Baada ya kuhitimu mafunzo utapewa utaratibu mwingine wa upatikanaji wa lesseni na nyaraka zingine ila utajigharamia mwenyewe. karibu sana ndugu.

      Delete
  6. hellow natokea mkoa wa mara napenda kuuliza mafunzo ya ufundi wa kompyuta yanachukua mda gani na ni shilingi ngapi

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mafunzo ya computer yanachukua miezi mitatu (BASIC COMPUTER APPLICATION) short course. Ada ni Tsh 200,000/=

      Delete
  7. Mkuu nahitaji kusoma short course ya installation je ni vgezo gan vinatakiwa ..... Je mnatoa vyeti kwa short course?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mafunzo ya short course yanapatikana kwa course zote. gharama kwa mafunzo ni Tsh 300,000/=. Karibu ndugu

      Delete
  8. je cozi ndefu, watoto wanaweza kuha huu mwaka au next year,kwa waliomaliza form four

    ReplyDelete
  9. Npo musoma nataka kusoma diploma ya Umeme cetfcate tayar nishasoma

    ReplyDelete
  10. Kwa mtu anaetaka kusoma umemme wa magari anatakiwa awe na vigezo gan

    ReplyDelete
  11. Mimi naitaji kusomea umeme wa Magari je na Diagnosis system nitasomea hapohapo niko musoma

    ReplyDelete
  12. Form za kujiunga na chuo zinapatikqna vp mm nipo mwanza

    ReplyDelete
  13. Mimi nataka kusoma ufundi was magari

    ReplyDelete
  14. Nipo Dar es salaam nahitaj kusomea umeme wa magari natakiwa kuwa na vigezo gan na utaratibu wa apo upoje

    ReplyDelete
  15. Habari..mm naishi kilimanjaro..nataka kufaham je unasomea grade gani..yaani ukimaliz utaendesha magar ya aina gani

    ReplyDelete
  16. Habari, nahtaj kufaham duration ya kujiunga.
    Masomo yanaanza rasm mwez gan ..?

    ReplyDelete
  17. Nataka mafunzo ya udereva ya mwezi mmoja

    ReplyDelete
  18. Nataka kusoma Ufundi Umeme nipate ajira Tanesco .nna 4 ya 26 na cjafaulu physics inakuwaje

    ReplyDelete
  19. Nataka nisomee ufundi wa magari miezi 6 Ada beigani

    ReplyDelete
  20. Консоли от корпорации Microsoft не сразу завоевали всемирную известность и доверие игроков. Первая консоль под названием Xbox, вышедшая в далеком 2001 году, существенно уступала PlayStation 2 по количеству проданных приставок. Но все поменялось с выходом Xbox 360 - консоли седьмого поколения, которая стала по-настоящему "народной" для обитателей России и государств СНГ - игры для xbox. Сайт Ru-Xbox.Ru является популярным ресурсом в числе поклонников приставки, поскольку он предлагает игры для Xbox 360, которые поддерживают все существующие версии прошивок - совершенно бесплатно! Для чего играть на оригинальном железе, в случае если есть эмуляторы? Для Xbox 360 игры выходили длительное время и представлены как посредственными проектами, так и хитами, многие из которых даже сегодня остаются эксклюзивными для это консоли. Некие пользователи, желающие сыграть в игры для Xbox 360, смогут задать вопрос: зачем необходимы игры для прошитых Xbox 360 freeboot либо разными версиями LT, в случае если есть эмулятор? Рабочий эмулятор Xbox 360 хоть и существует, но он просит производительного ПК, для покупки которого потребуется вложить существенную сумму. К тому же, разнообразные артефакты в виде исчезающих текстур, отсутствия некоторых графических эффектов и освещения - могут значительно испортить впечатления об игре и отбить желание для ее дальнейшего прохождения. Что предлагает этот сайт? Наш портал на сто процентов посвящен играм для приставки Xbox 360. У нас вы можете совершенно бесплатно и без регистрации скачать игры на Xbox 360 через torrent для следующих версий прошивок консоли: - FreeBoot; - LT 3.0; - LT 2.0; - LT 1.9. Каждая прошивка имеет свои особенности обхода интегрированной защиты. Потому, для запуска той или другой игры потребуется загрузить специальную ее версию, которая стопроцентно адаптирована под одну из четырех перечисленных выше прошивок. На нашем сайте можно без труда найти желаемый проект под нужную прошивку, поскольку возле каждой игры находится название версии (FreeBoot, LT 3.0/2.0/1.9), под которую она адаптирована. Геймерам данного ресурса доступна особая категория игр для 360-го, созданных для Kinect - специального дополнения, которое считывает все движения одного либо нескольких игроков, и позволяет управлять с помощью их компьютерными персонажами. Большой выбор ПО Не считая способности загрузить игры на Xbox 360 Freeboot или LT разных версий, тут можно найти программное обеспечение для консоли от Майкрософт: - всевозможные версии Dashboard, которые позволяют кастомизировать интерфейс консоли под свои нужды, сделав его более комфортным и современным; - браузеры; - просмотрщики файлов; - сохранения для игр; - темы для консоли; - программы, для конвертации образов и записи их на диск. Помимо перечисленного выше игры на Xbox 360 Freeboot вы можете запускать не с дисковых, а с USB и прочих носителей, используя программу x360key, которую вы можете достать на нашем портале. Гостям доступно множество нужных статей, а кроме этого форум, где можно пообщаться с единомышленниками или попросить совета у более опытных хозяев консоли.

    ReplyDelete
  21. Habari,,, natamani nije nikasomee ufundi wa magari ya umeme,, long course itakuwa mda gani na gharama yake sh ngapi kwa mwaka. Nipo Kilimanjaro. Asante

    ReplyDelete
    Replies
    1. karibu ndugu long course ni miaka 2

      Delete
  22. Kwema ndugu, samahni naombaa mwongozoo jinsi yakufikia hapoo chuoni kwajili ya kupataa mwongozo zaid

    ReplyDelete
  23. Habari , nataka kusoma umeme wa magari chuo kinaanza lini nimealiza 4m 4

    ReplyDelete
  24. Mm naitwa john Michael nlikuwa nauliza kuwa hakuna kozi ya ufundi ujenzi

    ReplyDelete
  25. Habari mkuu naomba unijuze taratibu za kusoma diploma ya umeme kkwani nimefauru ngazi ya tatu na gharama zote k awe ujumla pia hua mafunzo ya diploma huanza lini,\ mwezi wa ngapi. Nisaidie kwa hilo

    ReplyDelete
  26. Was nafunzi waliomaloza darasa la. Saba wanawezakujiunfa

    ReplyDelete
  27. Mimi nahitaji kusomea umeme wa tanesco he ni vigezo gan vinatakiwa

    ReplyDelete
  28. habal mim natokea mbeya naitaji kusomeà course ya compyuter course ya mda mrefu vp inawezekana

    ReplyDelete
    Replies
    1. piah niliishia kifato cha piki je naweza kujiunga na hyo course ya mda mrefu

      Delete
  29. Mm nipo mkoa kagera naitaji kujua kwamba nikitaka kuja apo masomoni kwa sasa naruhusiwa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mimi nipo dar es salaam nimemaliza level 2 naweza kujiunga Sasa

      Delete
  30. naomba kuuliza kwa wanafunzi wa level 3 piah wanavaa uniform?? na upande wa hair dressing piah ikoje??

    ReplyDelete
  31. Nataka kusoma umeme wa magar ili niwe vizur natakiwa nisome miaka mingap

    ReplyDelete
  32. Naomba kujua sifa za kusomea umeme wa magari. Na ada yake na mafunzo ni kwamuda gani?

    ReplyDelete
  33. Mimi nataka kusoma umeme wa magari na nipo geita naweza kupata nafasi kwa Sasa

    ReplyDelete

NAFASI YA MASOMO YA UFUNDI

UFUNDI NI HADHINA YA KUDUMU