KOZI ZINAZOFUNDISHWA NI:
1. Ufundi wa Umeme(Electrical Installation)
2. Ufundi Magari (Motor Vehicle Mechanics)
3. Ufundi wa umeme wa Magari(Auto-Electric)
4. Udereva (Motor driving). 5. Kozi ya muda mfupi ya komputa (miezi mitatu
USHONAJI ( TAILORING)
UFUNDI BOMBA (PLUMBING AND PIPE FITTIING)
i.
i. ADA NA MAHITAJI YA SHULE KWA KILA MWAKA NI KAMA IFUATAVYO:(KOZI NDEFU)
S/N |
MAHITAJI |
AWAMU YA KWANZA |
AWAMU YA PILI |
AWAMU YA TATU |
|
|
MALIPO(TSH) |
MALIPO(TSH) |
MALIPO(TSH) |
1 |
ADA YA CHUO( KILA MWAKA) |
200,000/= |
200,000/= |
200,000/= |
2 |
ADA YA HOSTEL( KILA MWAKA) |
100,000/= |
100,000/= |
100,000/= |
3 |
MICHEZO( KILA MWAKA) |
10,000/= |
- |
- |
4 |
T-SHIRT |
15,000/= |
- |
- |
5 |
KITAMBULISHO |
5,000/= |
- |
- |
6 |
RIM A4 (KILA MWAKA) |
BANDO 1 |
- |
- |
7 |
FYEKEO |
1 |
- |
- |
8 |
JEMBE |
1 |
- |
- |
(a)Wanaohitaji malazi (hostel) watapatiwa huduma za Maji, Chumba na Umeme . Mwanafunzi atajitegemea Chakula, Matibabu, Godoro na pesa ya tahadhari.
a) Gharama za mitihani ya Taifa zitalipwa, kutokana na maelekezo ya Mamlaka ya Mafunzo ya Ufundi Stadi.
ii. GHARAMA ZA KOZI ZA MUDA MFUPI.(KOZI FUPI)
S/N |
KOZI |
MUDA WA KOZI |
ADA(Tsh) AWAMU YA KWANZA |
AWAMU YA PILI |
1 |
Ufundi wa Umeme(Electrical Installation) |
Miezi Sita |
200,000/= |
200,000/= |
2 |
Ufundi Magari (Motor Vehicle Mechanics) |
Miezi Sita |
200,000/= |
200,000/= |
3 |
Ufundi wa umeme wa Magari(Auto-Electric) |
Miezi Sita |
200,000/= |
200,000/= |
4 |
Kozi ya muda mfupi ya komputa(Computer Course) |
Miezi Mitatu |
75,000/= |
75,000/= |
5 |
Kozi ya Kingereza(English course) |
Miezi mitatu |
75,000/= |
75,000/= |
6 |
Kozi ya Udereva (Driving Course) |
Mwezi mmoja |
200,000/= |
- |
No comments:
Post a Comment