Thursday, June 8, 2017

UDAHILI AWAMU YA PILI

Chuo cha ufundi ABC-VTC kinapenda kuwataarifu kuwa zoezi la kudahili wanafunzi wanaotaka kujiunga na mafunzo ya ufundi kwa mwaka wa masomo 2021/2022
. udahili wa awamu ya pili unaendelea.
wote mnakaribishwa

No comments:

Post a Comment

CHUO CHA UFUNDI ABC-VTC ARUSHA

UFUNDI NI HADHINA YA KUDUMU